ACT Wazalendo wammwagia sifa Rais Samia

NA MWANDISHI WETU, TANGA CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) kimemwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusema wanauona mkono wa Rais ukiimarisha uhuru wa habari nchini. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu wakati akihutubia kwenye kongamano la maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani la … Continue reading ACT Wazalendo wammwagia sifa Rais Samia