Rais Samia mgeni rasmi Kongamano la Chadema Siku ya Wanawake Duniani

NA MWANDISHI WETU, ARUSHA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha … Continue reading Rais Samia mgeni rasmi Kongamano la Chadema Siku ya Wanawake Duniani